Madarasa yaliyotengenezwa kwa udongo huko Kathanga, Tharaka Nithi.

Hali inayosikitisha ya shule sita zilizopo Kathanga, Kaunti ya Tharaka Nithi (ambapo Kindiki anatoka): madarasa yamejengwa kwa udongo na hakuna umeme.