Moi Kapsowar Girls National (Elgeiyo Marakwet)

Kama St. Patrick’s na Yemit Girls, Moi Kapsowar Girls National ilifungwa ifikapo Julai 22 kufuatia maandamano ya wanafunzi dhidi ya uongozi unaodaiwa kuwa mkali kupita kiasi na hali duni za malazi.